Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
Habari ndugu JF members naitwa Jobless Graduate2021 my real name is Mgaya Michael graduate from SUA (Bachelor of Rural Development) naomba ushirikiano wenu. Asante I!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana #EncryptionKaribu Mkuu
[emoji23][emoji23] ndugu yangu nimevurugwa na maisha hasa reality ya home na misoto niliyopitia had namaliza UE ya mwisho trh 13 August 2021Karibu ndugu, ila mbona ni mapema sana kujiita hilo jina wakati hata transcript hujapata bado!
Ndio Solomon Mahlangu CampusFrom SUA mazimbu kule au cyo...
Pamoja sanaNakupata huko vyemaa kbs
Asante sana! Mkuu GT maana yake nnKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidipo.
Nitabadil nduguJina lina ukakasi mkuu, mbna unajichulia hebu waambie mods wabadili hilo jina jiite hata tajiri ajae mkuu
GT = Great ThinkersAsante sana! Mkuu GT maana yake nn