Sina uhakika kama Suzuki za mwaka huo zina kitu kinaitwa MASS AIRFLOW SENSOR....a.k.a MAF....sensor hii hukaa kati ya throttle body na air cleaner..
Kama gari yako ina hii sensor ikague kwa kutumia mashine...sensor hii ikifa gari inaongeza consumption....
kwani sensor hii ndiyo inapima ni kiasi gani cha hewa kinatakiwa kiingie kwenye combustion chamber...
Kama hiyo sensor ni nzima basi anaza na zoezi rahisi la kuweka plugs mpya na genuine, air filter mpya pamoja na engine oil hasa 5w 30 au 5w 40...
Pia kagua mfumo wa exhaust kama uko vizuri...coz kama umeziba gari itakosa nguvu na kuongeza ulaji wa mafuta...ratio ya kinachoingia kwenye engine inatakiwa iwe sawa na kinachotoka
..ukifanya hayo usipoona mabadiliko itakuwa kuna jirani yako hakupenda kashaloga gari[emoji16]
Sent using
Jamii Forums mobile app