kiswahili ndugu yangu naweka mafuta ya elfu 10000 sawa na 4litre inaenda km 25 tuKusema gari inakula mafuta sio sahihi.
Gari kula mafuta ndo wajibu.
Hebu fanya jaribio. Weka lita kumi uone zitakufikisha kilomita ngapi.
Ndo utuambie ulaji wake ukoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama Suzuki za mwaka huo zina kitu kinaitwa MASS AIRFLOW SENSOR....a.k.a MAF....sensor hii hukaa kati ya throttle body na air cleaner..kiswahili ndugu yangu naweka mafuta ya elfu 10000 sawa na 4litre inaenda km 25 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu mafuta 10000 unataka iende km 100??ina cc ngap??kiswahili ndugu yangu naweka mafuta ya elfu 10000 sawa na 4litre inaenda km 25 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vzr aiseSina uhakika kama Suzuki za mwaka huo zina kitu kinaitwa MASS AIRFLOW SENSOR....a.k.a MAF....sensor hii hukaa kati ya throttle body na air cleaner..
Kama gari yako ina hii sensor ikague kwa kutumia mashine...sensor hii ikifa gari inaongeza consumption....
kwani sensor hii ndiyo inapima ni kiasi gani cha hewa kinatakiwa kiingie kwenye combustion chamber...
Kama hiyo sensor ni nzima basi anaza na zoezi rahisi la kuweka plugs mpya na genuine, air filter mpya pamoja na engine oil hasa 5w 30 au 5w 40...
..ukifanya hayo usipoona mabadiliko itakuwa kuna jirani yako hakupenda kashaloga gari[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ulisaidika lile suala la acKusema gari inakula mafuta sio sahihi.
Gari kula mafuta ndo wajibu.
Hebu fanya jaribio. Weka lita kumi uone zitakufikisha kilomita ngapi.
Ndo utuambie ulaji wake ukoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna hako ka sensor hapo nikikapachika huo waya wake gari inapandisha silence inaenda bila ku kanyaga mafuta nikitoa huo waya inakuwa sawa haiendi yenyewe mpaka ukanyage mafutaSina uhakika kama Suzuki za mwaka huo zina kitu kinaitwa MASS AIRFLOW SENSOR....a.k.a MAF....sensor hii hukaa kati ya throttle body na air cleaner..
Kama gari yako ina hii sensor ikague kwa kutumia mashine...sensor hii ikifa gari inaongeza consumption....
kwani sensor hii ndiyo inapima ni kiasi gani cha hewa kinatakiwa kiingie kwenye combustion chamber...
Kama hiyo sensor ni nzima basi anaza na zoezi rahisi la kuweka plugs mpya na genuine, air filter mpya pamoja na engine oil hasa 5w 30 au 5w 40...
Pia kagua mfumo wa exhaust kama uko vizuri...coz kama umeziba gari itakosa nguvu na kuongeza ulaji wa mafuta...ratio ya kinachoingia kwenye engine inatakiwa iwe sawa na kinachotoka
..ukifanya hayo usipoona mabadiliko itakuwa kuna jirani yako hakupenda kashaloga gari[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ya kwangu inakunywa mkojo. Tatizo wachochezi wamepungua mkojo unapatikana kwa tabu sanaGari kula mafuta ni kawaida yake we ulitaka ile mtori.