The Signal
Member
- May 26, 2022
- 10
- 5
Habarini naombeni mnipokee mimi ni mgeni,na pia naomba ushirikiano wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteh mwenyekiti wa kamati ya mapokezi,asante sanaKaribu sana Mimi ndo mwenyekiti wa kamati ya mapokezi.
Kuna popoma mmoja anitwa GENTAMYCINE atakuja baada ya kupooza machungu ya kufunguliwa na feitoto huko Mwanza maana yeye ndo afisa habari za michezo humu ndani.