INAUZWA Habari ndugu zangu nauza LED solar street light kwa shilingi 120000

View attachment 2772638
•Taa zinamwanga wa kutosha ni auto usiku zinawaka zenyewe
•mikoani tunatuma kwa uaminifu
•unaweza kufunga nje ya nyumba au kwenye fensi
•namba ya simu ni 0658554720
Karibuni
Nimependezwa na bidhaa yenu.

Hakuna punguzo kwa mteja anayechukua Pcs 5 na kuendelea?

Vipi ofisi yenu kwa Dsm ipo mtaa gani iwapo mteja angependa kuja kuwatembelea?
 
Habari kaka karibu izo taa zilibaki mbili ndo tunaziuza zilikua kwa ajili ya kazi kwaiyo boss amemaliza kazi ndo anataka pesa na zipo kigamboni nyumbani na sio dukani
 
Habari kaka karibu izo taa zilibaki mbili ndo tunaziuza zilikua kwa ajili ya kazi kwaiyo boss amemaliza kazi ndo anataka pesa na zipo kigamboni nyumbani na sio dukani
Okay, binafsi nilikuwa nahitaji zaidi ya taa 6 kwaajili ya kuzifunga kwenye uzio wa nyumba yangu.

Kama utakuwa na mawasiliano na dealer nitafurahi kuyapata.
 
Okay, binafsi nilikuwa nahitaji zaidi ya taa 6 kwaajili ya kuzifunga kwenye uzio wa nyumba yangu.

Kama utakuwa na mawasiliano na dealer nitafurahi kuyapata.

Habari boss hivi zile taa za solar ulishapata??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…