Uzinzi haupo kwa wenye ndoa tuu, ni kwa wote. Ungetoa takwimu kuwa kwa idadi ya watu Tanzania, ni asilima ngapi ni wana ndoa na wangapi hawapo kwenye ndoa. Kwa mtizamo rahisi idadi ya waliokwenye ndoa ni kubwa zaidi.
Simu siyo kiunganishi cha uzinzi na mahusiano, ni nguvu ya mvutano kati ya mwanaume na mwanamke. Unataka kunambia kabla simu hazijawa nyingi Tanzania wanandoa walikuwa hawatoki nje?
kidude cha like wamekitoa....safi sana paracetamol.I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.
I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.
Kwani kwa wanandoa kukutana kimwili ni dhambi? Si wameruhusiwa? Na Uzinzi si dhambi? Kuzini ni nje ya ndoa na ni dhambi!
ndo maana sitaki kuoa, 82% ya waathirika ni wanandoa.....usiniulize source do a simple research.
jamani topic kama hizi
tumezijadili mara mia mia humu ndani
tuwaache wanandoa wapumzike kidogo
khaaaaa
Sina cha kupinga kwa kuwa nami nipo katika hiyo 79%:banplease::banplease:
Thanks!kidude cha like wamekitoa....safi sana paracetamol.
Eish!Kwani kwa wanandoa kukutana kimwili ni dhambi? Si wameruhusiwa? Na Uzinzi si dhambi? Kuzini ni nje ya ndoa na ni dhambi!
Thanks....nadhani atakuwa amekuelewa sasa....swala la muda tu, na vituisheni vidogovidogondugu, uzinzi ni kitendo cha aliyeoa/aliyeolewa kufanya mapenz nje ya ndoa....
na uasherati ni kitendo cha asiyeoa/asiyeolewa kufanya tendo la ndoa.
Thanks Darlie....karibu kwenye 79%!:welcome:
hahaha,ODM mi nakupenda bure,,lol:smile-big:
Sina cha kupinga kwa kuwa nami nipo katika hiyo 79%:banplease::banplease:
:doh::doh::doh::doh:
Mr. President, hakuna dhambi yenye unafuu. Hata hivyo, siongei sana maana sipo kwenye ndoa. Waliokwenye ndoa watatuambia kwa uhakika kwa nini wanatoka na manati kulenga kuku na njiwa nje wakati kuku wao wapo ndani na hawana usumbufu wowote?
Ukubwa dawa, na umetibitisha kauli hii.... safi sanaI beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.