HABARI ni hii, 79% ya wanandoa wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa..

Simu mmmhh Simu ????

Amini Amini nakwambia umenena yampasayo mwanamke apigaye mbio kuingia ndoani!

Kwa kweli Mungu aniepushe na watu hawa as wengi wamo ndoani wakija nje wanaanza kwa kuficha

Kwani umesema wewe uko wapi?

bibi fanya hayo niliyokuambia,uone kama mumeo atatoka nje?akitoka,he doesnt worth your time/undying love.:frusty:

Hujaolewa km ulivyosema wewe kwa sasa ushauri wako hauna mvuto

Hujaolewa km ulivyosema wewe kwa sasa ushauri wako hauna mvuto

hauna mvuto kwenu nyie,bibi haambiliki!otherwise sioni kama nikiolewa ushauri wangu ndio utapendeza,nikikuuliza hapa HOW utaniambia? au utanipa jibu tu la mkato 'olewa kwanza!?:bored:

Kwa kuwa umesema haujaolewa. Ushauri wako naomba uweke kwanza alafu ukiolewa baada ya miaka sita ya ndoa, njoo nao tena JF.

tatizo baada ya miaka sita ya ndoa unajidai una majukumu mengi,unachoka huwezi kutimiza majukumu yako tena,nyumba kubwa huu ushauri ninaoutoa ndio nitakautoa baada ya kuolewa na kuwa na miaka sita ndoani-the key to successful marriage is to be the 'same' person he married years ago,sio unaenda ukibadilika,na kuwa mtu tofauti na yule aliyekutana naye mwanzoni obviously atatafuta mtu mwingine mwenye qualities zako za mwanzo-ni ushauri tu you can take or leave it......:frusty:

babu shikamoo! Umesomeka hapo kwenye red........................

wamama tulioolewa wote tunayajua hayo, na wengi wanayazingatia sana......................... cha ajabu kuna hiyo 79% jiulize...............

Hongera sana!!...

Wewe unadhani kubadilika ni tabia tu mdogo wangu ndio maana nimekwambia subiri dear. Hapo ulipo labda una english figure, ukiolewa ukazaa watoto wawili hukawii kuwa nakitambi sasa can you control that?

Can you force someone to be attracted to you forever? And when I say forever I mean with the same passion as the first time he set an eye on you.

Are you sure that all those women that are in marriage conflicts don't play their part?

DO you know sometimes the most irresponsible wife is the most loved one?

Ndio maana nakwambia fanya practicle usitegemee theories. Na only way ya kufanya experiment ku test theory zako ni kwa kuolewa.

Na kwambia kwa nia njema tu kwa kuwa hizo theory ulizo leta hapo hakuna aliye kwenye ndoa asiyezijua. Tatizo ni are they applicable and if applied do they always lead to the same results that you are claiming?

And a simple proof makungwi wenyewe wana matatizo na ndoa zao na wengine ni wamehachwa kabisa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…