Habari njema form four..............st joseph university in tanzania

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
193
Reaction score
26
kwa kuwa mimi ni mdau wa hapa jamiiforuns na pia ni mwanafunzi wa chuo hiki cha st joseph,,
tume ya vyuo vikuu tanzania(TCU) na chuo hiki....wamekubaliana wanafunzi wa form four wanaweza kusoma fani ya elimu(education) kwa ngazi ya shahada(degree),,,lakini ni miaka mitano(5 years),,,

sifa za mwombaji,,,,,awe amepataa walau masomo yote saba D kwa arts,,,na kwa sayansi awe na D saba lakini za sayansi zisikose,,,,,sijatoa

ila kwa kweli ada zao ni kubwa mno hilo lijue kabisa.
 
Nyie achen biashara kwan elimu sio migebuka wala mawese.
 
Angalia ITV mda wa habari ya saa mbili usiku,mie nimeliona tangazo hilo kweli jamaa hajajitungia na yalikua matangazo baada ya habari za kitaifa.
 
kusema kweli mi mwaka jana nilichora mazombi yasiyovaa viatu ila nina D mbili kumbe nikiriti nikapata D zangu tano mwakani huyoo UNIVERSITY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…