WaituWaitu
Member
- Aug 15, 2012
- 41
- 1
- Thread starter
-
- #21
Kwa hilo mimi nitawasaidia kufanya biashara ya mtandao (network marketing) ambaya ndiyo biashara ya karne ya ishirini na moja na kamwe haiwezi kukuangusha kama wewe si mvivu. Nafikiri nimekupa utangulizi na unaweza kutambua nini namaanisha.
huo nao ni utaahira uliopindukia...! didnt knw u ar such a hoplec intellectual! hiyo ya kuuza dawa za alovera ndo dira? wamekupga semina wakasafisha ubongo wote sa iv umebak na fuvu. .!
we kijana unaweza ukawa na idea nzuri tu, tatizo ni namna unavojieleza, iko kama una kamti shamba unataka kuwapa.. huku kuna watu wameona nyika na vome.. kama njia yako ni bora iweke ijadiliwe sio kuweka contact maana wenye akil washakuelewa hata kabla ujapost, anyway pandisha GPA yako.. we mwenyewe dira huna unatafutiaje wenzako dira..!
unafikiri kuwa watu wote ni wachawi kama wewe, we kwa vile uliambiwa kwamba nenda kasome na usifanye mambo mengine we ukariri.chunguza kwa umakini utagundua kuwa ajira zimepitwa na wakati hata hivyo ajira zenyewe ni za competition, kwa hiyo jaribu kufiri kufanya vitu vingine usibweteke.