Habari njema kwa mkoa wa Rukwa. km 658 za barabara kuwekwa lami

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..habari hii imenipa moyo sana.

..mkoa wa Rukwa una ardhi nzuri kwa kilimo and it is about time uweze kufikiwa kwa barabara za uhakika.

..kwa wenye uelewa wa maeneo yatakapita hizi barabara naomba mtupe mwangaza zaidi.

 
Good news lakini nina mashaka kidogo inawezekana ni uchaguzi umekaribia tuu,na mbona project kama hizi ni makampuni ya nje tuu ndio yanapata kazi? hivi ni kweli hatuna makampuni ya ndani yenye uwezo wa projects kama hizi...imagine hizo 600 bilion zingeingia kwenye makampuni ya ndani maana zingeishia kuzungushwa tena kwenye projects nyingine lakini sasa zote zinaishia Beijing,sipingi makampuni ya nje na lazima yapewe kama yanafanya kazi nzuri kuliko ya ndani maana tunachotaka kwanza ni barabara lakini its time makampuni ya ndani yafanye kazi kwa bidii ili yaingie kwenye projects kama hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…