Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
riba ni asilimia ngapi???
riba ni asilimia ngapi???
Kwa wale ndugu zetu waajiriwa wa TPA, International Commercial Bank tunarudi tena ili kuwawezesha wafanyakazi wenye permanent contract na kupata mkopo kati ya 5 to 10 mil. Vigezo ni rahisi na vinawezekana. Tafadhari ni wafanyakazi wa TPA Tuuuuu.
Minimum itakuwa 25% kwa muda wa mkopo it ends up to over 200%. Mtu anaekung'ang'anizia mkopo ujuwe ndio biashara yake na shida zako ndio faida yake.
Mkopo wa mil 10? Hata Kigae cha ki-south hauezeki @lst ingekua 40mils hiv.
riba ni 24.
Naomba tafadhali nipatie number yako ya simu ili tuwasiliane
Au kama hutajali naomba unipigie simu kwa no. 0713 68 96 65. Mimi niko TPA Head office nataka details zaidi