Wana- jamii Forum. Kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama na mayai; Vifaranga na mayai ya kutotoleshea (Fertile eggs) vinapatikana kwa bei nafuu. ukitaka ununue mayai tukutotoleshee inawezekana pia. Aidha vifaranga vya kuku wa kienyeji vinapatikana pis. kwa mawasiliano zaidi piga 0714 167626. Wajasiliamali mnakaribishwa