Habari njema kwa wakazi wa Iringa, Jipatie mafuta ya Queen Elizabeth

pide89

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Sasa unaweza kupata mafuta ya queen elizabeth kwa bei ya 35000 tu
tumia queen elizabeth original na sabuni za aza ikupe siri ya yrembo na utanashati
faida zake:
-mafuta haya hayachubui
-hurainisha ngozi na kukupa mng'ao wa kipekee
-hutunza ngozi dhidi ya mionzi ya jua
-huondoa michirizi na mikunjo ya ngozi
-huondoa makovu yatokanayo na chunusi
-hurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida hasa kwa wamama waliojifungua na kupata michirizi kwenye ngozi

kwa mawasiliano tucheki whatsapp 0764014285
 
Mi ninataka mafuta ya kuondoa makovu ya chale mwilini
 
Dah Hayo mafuta kuna mtu alikuwa nayo Arusha anauza akanishawishi hadi nikayanunua na kwelu bei ndio hiyo hiyo ila Hayo mafuta kwa kweli ni mazuri sana sio siri
 
mimi nauza jumla 20,000 orignal. Mikoani natuma zisipungue piece 10. Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…