palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
WanaJf nimesoma moja ya thread watu wanalalamika kuwa majina yao hawajayaona pale nkrumah hall. Jamani wale waliojiandikisha pale nkrumah na ambao 2005 walipigia kura hapo kituo kimehamishiwa pale "SHULE YA MSINGI MLIMANI".jirani na UDASA, jamani nendeni majina yenu yapo hata langu nimeliona pale. Kituo kinaitwa "SHULE YA MSINGI MLIMANI C". hata ukibofya website ya nec inakwambia ni "SHULE YA MSINGI MLIMANI C". Kituo cha nkrumah kinaitwa UTAWALA kama mmesoma vizuri. Mpe taarifa hii na mwenzio haraka.