Habari njema kwa wana Simba

Moi Dinya

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
1,296
Reaction score
825
Salaam wanabodi,

Ligi imemalizika weekend iliyopita na YANGA kukabidhiwa kombe lake.

Wana simba wamefungwa Mawazo yao na kauli za Manara na aveva kuhusu kukata rufaa FIFA ili wasipate Muda wa kuhoji kipindi chao cha utawala kwanini hawajachukua kombe na kuipa mafanikio timu ya Simba.

Muhimu kwa wanasimba wanatakiwa wawe na msimamo kwa kuuliza ni lini (tarehe na mwezi) kuwa majibu ya rufaa yatakuwa tayari?

Je TFF haina wanasheria na Watu makini kiasi cha kujiridhisha kuwa haki haikutendeka?
 
How is this a good news to Simba fans?
 
Kichwa cha mada na maudhui quite different. Wabongo tunaenda wapi kwa haraka hii?
 
simba wakamkodishe bashite theni wakaliibe tu lile kombe maana hakuna jinsi
 
Kuanzia gepu la points 9 mpaka kuja kulilia za mezani?? Bado wanaaminishwa wanaonewa na wao wanakubali tuu. Ndio maana rage aliwaita lile jina
 
Msimu ujao kama kawaida. Tunawatanguliza na baiskeli yao ya udongo. Ikija mechi dhidi ya Yanga, tunawaachia "ushindi" baada ya hapo wanavimba vichwa na kuanza kupoteza mwelekeo hadi ligi inaisha. Bingwa Yanga au Azam. Nafasi ya tatu kati ya Kagera na Singida United!
 
Yanga tumekuwa mabingwa mpaka tumekinaiwa bora tumuachie singida united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…