HUDUMA GHARAMA
Ukienda uhamiaji gharama ya passport ni sh. 50,000= USD 29
Visa ya marekani ni USD 100
University application fee haizi USD 100
JUMLA USD 229
Ina maana wewe unatoza watu mara mbili zaidi ya gharama husika? hata kama ni kupata faida punguza tamaa mkuu
NB: Kuomba chuo popote pale duniani hakuhitaji connections, kama una vigezo utapata na kama huna hautapata, vyuo vyote vina website, msiwe wavivu ndugu wa kusoma kila kitu kipo mitandaoni, vyuo vizuri kuvijua ni rahisi tu ingia google utapata kila kitu kuanzia mwaka chuo kilipoanza mpaka mwisho. Kuhusu hostel hutolewa kwa foreigners kwa kulipa accomodation fee na sio mtu anakaa anabuni biashara za kihuni badala ya kwenda kulima

hakuna kazi ya bure mkuu, lakn huyu anachotaka kufanya si kazi bali ni uhuni tu.Sasa wewe unafikiri kuna kazi ya bure.
nchi hii haiwez kuendelea kama kila mtu atakuwa dalali, tunahitaji kuingia katika uzalishajiMkuu pokea like zangu mia nane, wabongo wavivu sana wa kufikiri, hapa jamaa ndo kawaza mpaka bhasi then kaamua kuja na mradi wa kitapeli kama huu!
Mkuu umemshukia!! Yaani kama Eagle! She.nzy type kabisa, eti tuna connections na nchi za usa, japan, sijui na wapi? Mimi nikafikri anatangazia watu scholarship kumbe kuomba chuo, kutafuta viza, kutafuta hostel! Sasa kuomba chuo nako mpaka upite kwa dalali? Kutafuta viza nayo mpaka dalali? Hopeless kabisa hili jamaa, bora litafute biashara nyingine kama limechoka kubeba maboksi!!nchi hii haiwez kuendelea kama kila mtu atakuwa dalali, tunahitaji kuingia katika uzalishaji
Jamani msimshukie jamaa ki vilee. Kuna mahitaji ya hii biashara. Amin nawambieni kuna watu hawawezi kufanya kitu chochote wenyewe. Ni lazima wafanyiwe. Kuna wengine wanajidai wako busy na kuna wengine waoga tu na hhawajiamini.
Hata ulaya zipo hizi.
HUDUMA GHARAMA
Ukienda uhamiaji gharama ya passport ni sh. 50,000= USD 29
Visa ya marekani ni USD 100
University application fee haizi USD 100
JUMLA USD 229
Ina maana wewe unatoza watu mara mbili zaidi ya gharama husika? hata kama ni kupata faida punguza tamaa mkuu
NB: Kuomba chuo popote pale duniani hakuhitaji connections, kama una vigezo utapata na kama huna hautapata, vyuo vyote vina website, msiwe wavivu ndugu wa kusoma kila kitu kipo mitandaoni, vyuo vizuri kuvijua ni rahisi tu ingia google utapata kila kitu kuanzia mwaka chuo kilipoanza mpaka mwisho. Kuhusu hostel hutolewa kwa foreigners kwa kulipa accomodation fee na sio mtu anakaa anabuni biashara za kihuni badala ya kwenda kulima
Daka mtumba kaka naona yuko sahihi kabisa=passport+visa+hosteli kwa $500 hah mbona ok kabisa jamani kwani kuna agency watu wanalipa mpaka $980 na bado watu wanajazana ktk ofisi mhh watanzania tupunguze lawamaaaaa.....