Habari njema kwa wenye nia ya kuukimbia umaskini,

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
33
Wapendwa taifa liko kwenye janga kubwa la ukosefu wa ajira, lakin wengi wetu tunapenda kumaliza chuo na kuanza kuangaika kwa ajili ya kutafta kazi, mimi nna ndugu zangu na marafiki wengi wamemaliza chuo tangu 2010 lakin wanaendelea kutafta kazi wanakaa tu nyumbani, tena wamekata tamaa wanasema wako tayari hata kwa kazi ya sales ambayo b4 walikuwa hawataki. vijana wenzangu mimi nafanya kazi lakin mshahara hautoshi tunahitaji tuwe na kitu cha kutuingizia kipato pia, kuna biashara nyingi za mtandao za kufanya ofcoz nyingi zao zilizotangulia zina mfumo kidogo mgumu kupata hela unahangaika weeeee lakin unachoambulia ni kidogo au kukosa kabisa, sasa ningependa kuwashirikisha hii biashara ya mtandao ambayo ni mpya kabisa tanzania hadi sasa hamna hata ofisi tunaendelea kutafta huku products tukichukua kenya,kwann ujiunge ina products 5 tu ambazo kuzifanyia marketing kumuelewesha mtu ni rahic sio kampuni nyingine zna products nyingi hadi unachanganyikiwa, pia inatumia binary system yaan system inakuruhusu kuingiza watu wawili tu then wengine watakaojoin system itakutaka uwaweka chini ya team yako, tatu entrance fee ni ndogo hata kwa watanzania wenye kipato cha chin kabsa anaafod yaan hata laki 2 haifik, pia hela unalipwa kwa wiki haina kusubiri hadi mwezi,pia haihitaji kujitwisha products na kuanza kuzurula nazo just unamuingiza mtu,kama nilivyosema hii kitu ni mpya utakavyowahi kujoin mapema ndo mafanikio zaidi coz hata kwenye biashara nyngne za mtandao wanaofanikiwa sana ni wale walojoin mapema, ndugu zangu hii biashara nzuri halafu haina stress chance za kutengeneza hela ziko wazi ushindwe mwenyewe acheni kuridhika na maisha kuna fursa nyingi za kujiongezea kipato kuliko kukaa na kuilalamikia serikali tujitume watanzania wenzangu, sawa tafteni kazi huku mnakitu cha kuwaongezea kipato mshahara hautoshi jaman,kwa maelezo zaidi just nipm, MBARIKIWE SANA,REST IN PEACE SHIDA
 
Jina la kampuni ukiliweka litawasaidia sana wadau.
Pia products zao, website.
or else ni yale yale ya FLP, ORIFRAME, GNLD, NK
 
products zenu ni nini tuanzie hapo maana vizuri hujiuza tu vyenyewe
 
Wapendwa siwezi kudisclose kila kitu hapa thread inajitosheleza watu wanakatisha tamaa sana yaan na maneno Yao, atakayekuwa interested plz nipm tuwasiliane, wengine msiopenda plz piteni kimya kimya,asante kwa kueleweka
 
Yale yaleee..

ndo maana mnakaribishwaga kwny seminar bila kupewa info za kutosha coz of maneno yenu, kama kitu hakikufai wewe sio na wenzio just pita kimya kimya ndugu yangu,
 
Hapa hatuna pa kuponea.Wapigaji naona mmekuja kivingine tena?
 
Ni kampuni mpya kabisa haina hata ofic bongo,

Mbona unapata kigugumizi kutaja jina la kampuni. Jina la kampuni ni kitu cha kujivunia kaka, thats where ur brand starts selling, labda kama una mashaka na kitu au kampuni haijasajiliwa!!..HAPA NI JF, HAKUNA LONGO NA BLAH BLAH NYIINGI, SEMA BIDHAA YAKO NA SIFA ZAKE WAZI, WATU WAKIPENDEZWA WANANUNUA, SIYO WOTE WANATAKA KUWA MACHINGA WENU, WENGINE WANATAKA KUNUNUA NA KUTUMIA TU!
 
ndo maana mnakaribishwaga kwny seminar bila kupewa info za kutosha coz of maneno yenu, kama kitu hakikufai wewe sio na wenzio just pita kimya kimya ndugu yangu,
Peleka utapeli wako facebook.
 
Wapendwa siwezi kudisclose kila kitu hapa thread inajitosheleza watu wanakatisha tamaa sana yaan na maneno Yao, atakayekuwa interested plz nipm tuwasiliane, wengine msiopenda plz piteni kimya kimya,asante kwa kueleweka

Kwa hiyo na mimi kama mteja utaniuzia kwenye gunia nikafungulie chumbani? Weka wazi kila kitu, TRA hawasomi jf kwa hiyo hawatakukamata !!!!!!
 
Wapendwa taifa liko kwenye janga kubwa la ukosefu wa ajira, lakin wengi wetu tunapenda kumaliza chuo na kuanza kuangaika kwa ajili ya kutafta kazi, mimi nna ndugu zangu na marafiki wengi wamemaliza chuo tangu 2010 lakin wanaendelea kutafta kazi wanakaa tu nyumbani, tena wamekata tamaa wanasema wako tayari hata kwa kazi ya sales ambayo b4 walikuwa hawataki. vijana wenzangu mimi nafanya kazi lakin mshahara hautoshi tunahitaji tuwe na kitu cha kutuingizia kipato pia, kuna biashara nyingi za mtandao za kufanya ofcoz nyingi zao zilizotangulia zina mfumo kidogo mgumu kupata hela unahangaika weeeee lakin unachoambulia ni kidogo au kukosa kabisa, sasa ningependa kuwashirikisha hii biashara ya mtandao ambayo ni mpya kabisa tanzania hadi sasa hamna hata ofisi tunaendelea kutafta huku products tukichukua kenya,kwann ujiunge ina products 5 tu ambazo kuzifanyia marketing kumuelewesha mtu ni rahic sio kampuni nyingine zna products nyingi hadi unachanganyikiwa, pia inatumia binary system yaan system inakuruhusu kuingiza watu wawili tu then wengine watakaojoin system itakutaka uwaweka chini ya team yako, tatu entrance fee ni ndogo hata kwa watanzania wenye kipato cha chin kabsa anaafod yaan hata laki 2 haifik, pia hela unalipwa kwa wiki haina kusubiri hadi mwezi,pia haihitaji kujitwisha products na kuanza kuzurula nazo just unamuingiza mtu,kama nilivyosema hii kitu ni mpya utakavyowahi kujoin mapema ndo mafanikio zaidi coz hata kwenye biashara nyngne za mtandao wanaofanikiwa sana ni wale walojoin mapema, ndugu zangu hii biashara nzuri halafu haina stress chance za kutengeneza hela ziko wazi ushindwe mwenyewe acheni kuridhika na maisha kuna fursa nyingi za kujiongezea kipato kuliko kukaa na kuilalamikia serikali tujitume watanzania wenzangu, sawa tafteni kazi huku mnakitu cha kuwaongezea kipato mshahara hautoshi jaman,kwa maelezo zaidi just nipm, MBARIKIWE SANA,REST IN PEACE SHIDA

Copy: LIKUD kwa ajili ya kuchangamkia fursa.....
 
Last edited by a moderator:
Naimani kila mtu humu ktk jf anashughuli yake/kazi inayo mpatia kipato halali,tushawishi kwa mafanikio uliyoyapata
 
Kama vile haina mashiko ivi...emu kuwa muwazi kidogo...au kampuni yenu ni mpya kiasi haijapewa hata jina?:confused2:
 
Watu mnahangaika na huyu jamaa sana, ni wakina FOREVER LIVING haihitaji kwenda shule ili kujua ni wao.
 
Jaman aliyekuwa interested anipm nitampa info zote,
 
Back
Top Bottom