Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Jul 6, 2013 #21 raky said: Ni kampuni mpya kabisa haina hata ofic bongo, Click to expand... kampuni mpya kabisa kiasi kwamba jina la kampuni liko sealed kwenye box thi ndio?
raky said: Ni kampuni mpya kabisa haina hata ofic bongo, Click to expand... kampuni mpya kabisa kiasi kwamba jina la kampuni liko sealed kwenye box thi ndio?
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Jul 9, 2013 #22 raky said: Ni kampuni mpya kabisa haina hata ofic bongo, Click to expand... .....kampuni haina jina,haina ofisi...?? ~MATAPELI KAZINI~
raky said: Ni kampuni mpya kabisa haina hata ofic bongo, Click to expand... .....kampuni haina jina,haina ofisi...?? ~MATAPELI KAZINI~
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 459 Jul 9, 2013 #23 Niliwahi kuaambiwa kuna semina ya bure na Mjasiriamali mmoja hivi anaitwa Charles Nazi. Kwenda nikakuta kazi yenyewe ni yakuuza dawa za kampuni na wanafanya upatu!
Niliwahi kuaambiwa kuna semina ya bure na Mjasiriamali mmoja hivi anaitwa Charles Nazi. Kwenda nikakuta kazi yenyewe ni yakuuza dawa za kampuni na wanafanya upatu!
kemashafe Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 138 Reaction score 59 Jul 18, 2013 #24 mbona hautoi jina lakampuni na ni bidhaa gani why unang"anina tuku PM wakti hii thread ni faida kwa wote funguka kiongozi ili watu wafaidike
mbona hautoi jina lakampuni na ni bidhaa gani why unang"anina tuku PM wakti hii thread ni faida kwa wote funguka kiongozi ili watu wafaidike
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jul 18, 2013 #25 Gnld? Au forever living
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,759 Jul 18, 2013 #26 raky said: Jaman aliyekuwa interested anipm nitampa info zote, Click to expand... Mbona unang'ang'ania PM au ili umuingize King vizuri au? Aisee tumekushtukia.
raky said: Jaman aliyekuwa interested anipm nitampa info zote, Click to expand... Mbona unang'ang'ania PM au ili umuingize King vizuri au? Aisee tumekushtukia.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Jul 18, 2013 #27 doh, mi bora nitafte vijana wenzangu niwape shamba tulime. hizo biashara za mitandao sio kabisa.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Jul 18, 2013 #28 Mtoa mada ye mwenyewe anaonesha ni namna gani kaathirika na janga la ajira.