Habari njema kwako Bachelor mwenzangu

duh
 
Yani watu mnachukulia ndoa km swala la mzaha mzaha!!
 
Tupia namba zake za simu tumfuate hewani bro,mm nipo serious niachane upweke.
 
Oyaa Bachelor uliyeshindikana, huyo Dada alifanikiwa?, tupe mrejesho nataka nipitishie ombi langu pia kwako unisaidie[emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kuna mtu mmoja nilitokea kujenga imani naye ila sijapata feedback toka kwake bado ila kumekuwa na changamoto kadhaa....

1..Wengine wananifuata PM wakiomba connection kwa njia zetu zile tunazopeana kwa ajili ya madada poa kule uwanjani kwetu wasijue kuwa hapa tunazungumzia serious matter juu ya mtu mwenye misimano yake.

2..Tofauti ya imani imekuwa ni kikwazo maana nimewaambia imani ya binti ni muislam hawezi kubali mtu wa imani nyingine yeye pia wazazi wake na wala hahitaji kumbadilisha mtu imani sababu tu amuoe maana anajua itakuwa ni kumdanganya.

3..Before sijamjibu mtu nilikuwa napitia michango yake humu jamvini walau nipate hata taswira ya mtu ninayempambania but kuna baadhi nimekuta ni wavulana sana yaani hakosi kutukana kwa kila atakachomjibu mtu ambaye hawaendi sawa so namaanisha ni watukanaji mnoooo.Unajua zaidi ya majina tunayojipa humu jamvini bado ktk maisha halisi huku uraiani wengine tuna heshima na busara zetu,siwezi jivunjia heshima kwa kumpambania muhuni..

So kunitumia mm sio vibaya ila ukifahamu tu kuwa mm sio dalali wala kuwadi ila nilikuwa ninejitolea kumpambania bachelor mwenzangu mmoja achukue mke ila userious umekosekana..Kikubwa ni kujiweka ktk level ya mke na sio ya msichana nina imani utapata tu mwenza InshaAllah. Mengine waweza nitembelea PM km una lolote la kushare..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umevuta bangi ya watu wewe 🀣🀣🀣
 
Umevuta bangi ya watu wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bangi ilinikataa aisee,pindi niko Advance Midlands high school nilijaribu nikapiga Puff 3 tu ila mawenge yake nikakoma na kukoma.Sijawahi ona mawenge ya vile yaani upo juu ya kitanda ila hiyo speed kinavyozunguka acha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…