Habari njema,soko la hisa "DSE"mambo safi

Hayo yote hayana maana ikiwa wanaotawaliwa wanauliwa kwa makusudi na vyombo vya dola ambavyo kazi yake kubwa ni kuwalinda hao wanaowaua
 
Mmeshindwa kutueleza zilipo 1.5T mtaweza kuchambua habari za hisa DSE?
 
Hayo yote hayana maana ikiwa wanaotawaliwa wanauliwa kwa makusudi na vyombo vya dola ambavyo kazi yake kubwa ni kuwalinda hao wanaowaua
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wa tuhuma zako,pia fahamu kuna wengine inatakiwa wakae pembeni ili wengi wafurahie matunda ya taifa lao,kwanini utumike kulikwamisha taifa?
 
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wa tuhuma zako,pia fahamu kuna wengine inatakiwa wakae pembeni ili wengi wafurahie matunda ya taifa lao,kwanini utumike kulikwamisha taifa?
Atuonyeshe lilipo kaburi la Azory Gwanda mathalan.
 
Uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho

Hivi unaelewa ulichokiandika lakini? Umefuatilia taarifa za robo ya mwaka za uchumi kutoka vyanzo vya kueleweka? Umesikia mabenki yalichopost kipindi hiki? Unabahati nimelelewa kuaminishwa kwamba kutukana watu si uungwana.

Hustahili hata kidogo kutilia shaka uwezo wangu wa kufikiri, jadili nnachokiandika sio uwezo wangu, sio tu kwamba hauna mamlaka hayo, haustahili na wala hautakuja kuwa na uwezo huo.
 
Vyanzo vipi vyakuaminika?,kuna bank zimepata faida,kuna bank faida zimepungua,ni kawaida kabisa,bank za ujanjaujanja zinajiengua zenyewe,chanzo chako cha kuaminika ni kipi?,suala la kujenga uchumi lina changamoto zake,wewe.endelea kuamini vyanzo vyako
 
Sasa wewe unaambiwa DSE mambo super unabisha nini sasa?!!

UNweza kuelezea hiyo mambo super inamaanisha nini? Kunatofauti ya kuambiwa jambo na uhalisia wa jambo lilivyo.
Mbaya zaidi ni pale unapoambiwa na mtu asiyena uelewa wa jambo analolielezea.
 

Unaweza kuelezea hiyo "DSE Mambo safi" inamaanisha nini?
 
Mtapangwa sana masikin nyie kwa ili muweze kula na familia zenu
Ila mtu yyote mwenye akili anaona kinachofanywa na sirikali uwa watu...

Bahat nzur rekodi zote zilizovunjwa zinaumbuliwa na halisi...whre z 1.5T...
 
Dawa yako wewe ni link tu ili uufyate.

Wote mnaweza kuona jambo moja mkaondoka na tafsiri tofauti kila mmoja kutokana na uwezo wa uelewa wenu.
Nimekuuliza jambo dogo sana, hiyo DSE mambo super uliyoisema ni kwa kuktadha upi na ina maana gani?
 
Yaani soko la hisa la Dar mambo mazuri sasa kama hutaki mimi nikufanyaje?!!
 
Kuna watu hawana shukrani kabisa,
Hata ikitokea umepita mgao wa 2ml nchi nzima, kuna watu watalalamik kwa nin isiwe 5ml
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…