mwanaharakatiII
Member
- May 23, 2008
- 10
- 0
🙂 Beware people! Kwanini huyu Mwanaharakati asitupe hizo mbinu zake hapa bila kulazimisha watu kuliwa salio kwenye simu zao na watu tukanufaika sote?Sasa ukisha tuma nn kitatokea kama unataka kutoa shule kuhusu huo ujasilia mari si ungeweka humu watu wakachangia na kuelekezana?
🙂 Beware people! Kwanini huyu Mwanaharakati asitupe hizo mbinu zake hapa bila kulazimisha watu kuliwa salio kwenye simu zao na watu tukanufaika sote?
I still believe everything MUST be free of charge in this world.
Poor me!
I knew it... I mean "I believe none owns the internet,,, everything thru internet MUST be free of charge".Tafadhali fafanua.
I knew it... I mean "I believe none owns the internet,,, everything thru internet MUST be free of charge".
Kwa maana hiyo basi, huyu mwenzetu kama kafikia kuandika kuwa yeye ana deal basi alianike tu BURE. Cost ya kuwa na internet nyumbani ama kazini kwa mmojawapo wa wadau ni kubwa si kuwaongezea zile za kutuma sms ama kupiga simu... Got me m8?
Tafadhali fafanua.
Habari!
Je! ungependa kubadilisha Kipato chako?
Je ungependa kuwa Majasiriamali?
Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa kutimiza mawazo (ndoto) yako.
Asante
Unafikiri mimi nataka utumie shortcuts? .......Kuomba kwangu majina ni kwasababu napenda kuomba nafasi za VIP kwa wageni wangu lakini naomba mjue nimetumia nafasi hii kuwatumia msg wanazuoni kwa sababu ni nafasi pekee ya kushirikishana mambo ya mafanikio.
Samahani kwa usumbufu.
Waswahili wanasema Mafanikio ya mtu yapo mikononi mwa mtu huwezi juu naweza nikawa mimi nimekutoa kwa kukushirikisha kwenye mafunzo ya siku moja na masaa 2.
Mafanikio yoyote hayakufuati wewe ..... unafuta mafanikio.