Habari Picha: Hivi Huwa Tunawasomesha Architects wa Kazi gani ikiwa Kila Kitu ni "Copy &Paste"?

Habari Picha: Hivi Huwa Tunawasomesha Architects wa Kazi gani ikiwa Kila Kitu ni "Copy &Paste"?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Jengo la Abiria la Mwanza Airport
IMG-20240519-WA0001.jpg


Vs

Jengo la Abiria la Gwandar International Airport -Pakistani.

View: https://www.youtube.com/live/xmVq3nhd7fA?feature=shared

My Take
Si ajabu watu wakashindwa kuchora Ikulu ya Dom Kwa akili zao wakaishia ku copy and paste ya Jengo la mkoloni.
 
Mkuu unajua maana ya copy and paste lakini, maana hapo utofauti ni mkubwa kuliko ufanano, by the way hakuna jipya chini ya jua acheni nongwa watu wanatafuta riziki
 
Mkuu unajua maana ya copy and paste lakini, maana hapo utofauti ni mkubwa kuliko ufanano, by the way hakuna jipya chini ya jua acheni watu wapate riziki
Hakuna utofauti ni copy and paste
 
Back
Top Bottom