Mkuu unajua maana ya copy and paste lakini, maana hapo utofauti ni mkubwa kuliko ufanano, by the way hakuna jipya chini ya jua acheni nongwa watu wanatafuta riziki
Mkuu unajua maana ya copy and paste lakini, maana hapo utofauti ni mkubwa kuliko ufanano, by the way hakuna jipya chini ya jua acheni watu wapate riziki