Ha ha ha ha ha haHahahahaha...
Jamaa limelia kabisa...
Jinga kabisa
Mkuu kwanza Jumamosi utaenda Kisongo?Nataka nije twende kumuona jamaa.Sasa nipo hapa Mjengoni Club/Pub napata supu ya mkia
Mkuu huyo sio kocha,huyo ni daktari wa team anamtia barafu jamaa.
Nikiri wazi hii dhambi ya hizi vurugu nilishiriki washukuru Polisi.
Sisi sio watu sport sport
Mwanga Lutila
Kumbe na wewe upo kwa kina Wanapaluhengo na Lunoge Lweki
Nasikia mmebakiza point moja kuanza kuonekana Azam Tv mwakani