Habari wadau naomba msaada juu ya Pikipiki za HERO kwa ambao wanazifahamu

Dtech

New Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Nahitaji kununua pikipiki ya kutembelea ila siyo mtaalamu wa hizi mashine na sijawahi kumiliki hiki chombo lakini nimepata ushauri na mtu flani kuwa angalau HERO ina ubora ukilinganisha na BOXER , TVS, na zingine . naomba kama kweli kuna anae jua uzuri wa hivi vyomo kidogo anishauri lengo langu ni kuwa na chombo imala haijalishi jina lake
 
Picha please
 
Honda ace cb 125 x ndio machine pekee unayoweza kuchukua ukatembea kifua mbele.
 
Hero ni pikipiki Nzuri pia jiandae na gharama za vipuli ila ukifunga hicho kipuli unasahau.
 
Ukinunua Honda nunua isiyo na starter kwenye ugumu, performance na confortability ndio nyumbani hutojuta hakuna pikipiki inayotia mguu hapa hata baadhi ta taasisi za umma na private wanazitumia hizi.
 
Back
Top Bottom