Picha pleaseNahitaji kununua pikipiki ya kutembelea ila siyo mtaalamu wa hizi mashine na sijawahi kumiliki hiki chombo lakini nimepata ushauri na mtu flani kuwa angalau HERO ina ubora ukilinganisha na BOXER , TVS, na zingine . naomba kama kweli kuna anae jua uzuri wa hivi vyomo kidogo anishauri lengo langu ni kuwa na chombo imala haijalishi jina lake
Hizo Honda hakuna cc 150??Honda ace cb 125 x ndio machine pekee unayoweza kuchukua ukatembea kifua mbele.
Zinaenda ngapi kiongozi, nataka Honda ace 125 Tuff.Honda ace cb 125 x ndio machine pekee unayoweza kuchukua ukatembea kifua mbele.
Hizo Honda hakuna cc 150??
Zimeanzia milioni 3.7Zinaenda ngapi kiongozi, nataka Honda ace 125 Tuff.