Habari wadau plug nzur za gar aina ya vitz old model ni bei gan

Maswali mengine yanachekesha sana, mimi kuna fundi wangu nilimwambia nataka plug oem(original au best yao) ya pikipiki yangu. Akanambia nimpe 15,000 nikampa baada ya wiki nikaenda dukani mwenywe kuuliza plug tena kwasababu pikipiki iliharibika na fundi kasema plug ya zamani. Nikashanga ila nikaenda kuchukuwa muuza spare akasema zipo plug mpaka 25,000 nikanunua ya 7,000 mpaka leo ipo vizuri tu. Kuna baadhi ya mafundi wajanja sana



lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…