The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kuna rafikiyangu Mkongo anataka kuwa analeta raw gold tanzania ameshapata utaratibu wa wizara ya madini na TRA sasa yeye anahitaji masoko hapa nchi hana mtaji sana anataka wanunuzi serious,na je wadau hivi bei yake inaendaje kwa troy ounce moja,na kama mnaweza nijuza kampuni nunuzi hapa tz,mbalikiwe