mmmh! Mjukuu krb sana ila kuwa mwangalifu jf ya karne hii imevamiwa na makanjanja so usiamini kila unaloliona humu! Mjukuu ukikuta uzi umeanzishwa usikurupuke kucomment ufuatilie kwanza uone wengine wanasema nn maana unaweza ukaumbuka kunawatu humu wanajua mambo ila usiwaogope we pambana kwa hoja.
Mjukuu usipost matusi kuna kitu kinaitwa burn yaan ukikwaana na mods basi hiyo kitu itakuhusu. Nisikutishe sn ila nakuomba yale mambo yenu ya fb yaache hukohuko, huku ni kijiji kingine kabisa.
KARIBU SN TUBADILISHANE MAWAZO.