Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali ktk ICT, Naombeni baraka zenu!

Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali ktk ICT, Naombeni baraka zenu!

Joined
May 17, 2016
Posts
11
Reaction score
14
Kwanza natanguliza salamu kwa wahenga wa JF humu ndani.
Mimi ni mjasiriamali katika ICT, na ninapenda topic yoyote inayohusiana na Kutengeneza Apps, Website, Graphics, MotionGraphics na systems za aina zote.
Kwa ishu yoyote inayohusu IT/ICT , mambo ya systems na Apps nione tafadhali.
naombeni baraka zenu, najua kuna wengi wanaojua mengi humu na napenda kushare kitu ninachokijua na wenzangu . tafadhali nikaribisheni na asanteni
 
Karibu jukwaa la tech ingawa sio kuku mgeni.
 
Back
Top Bottom