Habari wakuu na ombeni msaada kwa hili

Agustini

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena.

Naombeni mawazo yenu.
 
Duu pole mkuu kwan hukubahatika kupata cheti km ulibahatika nenda college km hujabahatika rudia tu km interest za kusoma usirudie form three just reset chukua masomo unayoyaweza rudia Mungu atakujaalia utafanikiwa
 
nina uhakika kama kweli una nia ya kweli ya kutaka kusoma na umeamua kuelekeza nguvu zako zote kwenye shule basi nza form four tu inatosha sana kufanya vizuri ila cha msingi chagua masomo ambayo either ulikuwa unayaweza walau au yale ambayo upatikanaji wa nondo zake ni rahisi kwako
Mwisho Usisahau kwenda mchikichini kufanya paper za kila wiki kwa masomo hayo ili uwe unajipima kama umeiva kwa kiasi gani itakusaidia sana
Usisahau kununua paphlet za maswali na majibu huwa zinasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…