Habari wakuu naomba msaada kwa hili

Habari wakuu naomba msaada kwa hili

Agustini

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
14
Reaction score
2
Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena
Naombeni mawazo yenu
 
Ndugu, maelezo yako hayaeleweki, kwa maoni yangu, ninavyojua, ukimaliza form four unaweza kurudia mtihani mda wowote ule maana necta wana taarifa zako.

Pia, Kama ulimaliza form fourna ukapata division zero, unaruhusiwa kurudia form two.

Na kwa huku Kyela, watu wananunua majina ya wenzao Na kuanza masomo katika ngazi mbali mbali.
 
Ninavyofahamu mm ukimaliza form 4 ukafeli, kama utatakuludia mtihan basi n ndan ya miaka mitatu tu.
 
Kama yuko na chungu na shule aende rejea form two,apate nambari mpya kabisa,ili hali wajuzi wasema kuanza upya si ujinga lakini pia atakua kijeba cha darasa...
Hala hala asende haribu wanetu kwa mamboe ya kikubwa ati.
 
Nime kupata
 
Hahahahahaha wejamaaa unaniuaa hahahaha kijebaa uongoo
 
Back
Top Bottom