Habari wakuu ndugu yangu mmoja kila anapolala na akiamka asubuhi,upande wa kushoto kwenye baji la uso huvimba

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Habari wakuu ndugu yangu mmoja kila anapolala na akiamka asubuhi,upande wa kushoto kwenye baji la uso huvimba kama uvimbe w kuumwa na jino ,lakini huo uvimbe haimuumi kabisa,baada ya masaa matatu au manne uvimbe unapotea..je mwenye ufahamu w jambo hili anaweze kunambia ni kitu gani? Nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aende hospital akapimwe sikuiz magonjwa ni mengi na dalili zake zimekuwa zikibadilika kutokana na mifumo ya maisha hivyo jambo la busara ni kupima vinginevyo utapata majibu ya uongo alafu ukajilaumu

Mkorintho wa 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…