Habari Wakuu

Habari Wakuu

Nuru kids

Member
Joined
May 4, 2023
Posts
11
Reaction score
5
Vigezo Gani Unatakiwa Kuwa Navyo ili Uwe wakala wa Halopesa,Tigopesa,Mpesa na Airtel Money? Msaada Wakuu
 
Vigezo Gani Unatakiwa Kuwa Navyo ili Uwe wakala wa Halopesa,Tigopesa,Mpesa na Airtel Money? Msaada Wakuu
Leseni ya biashara
TIN
kitambulisho cha taifa
Mkataba wa pango
Hati ya uhakiki wa vidole toka jeshi la polisi
Barua ya utambulisho serikali ya mtaa
Nadhani na wadhamini
 
Leseni ya biashara
TIN
kitambulisho cha taifa
Mkataba wa pango
Hati ya uhakiki wa vidole toka jeshi la polisi
Barua ya utambulisho serikali ya mtaa
Nadhani na wadhamini
Asante Mkuu vp na upande wa laini naweza kuzipata kwa bei gani? Kama hutojari msaada pia nipate Maelekezo
 
Back
Top Bottom