Leseni ya biasharaVigezo Gani Unatakiwa Kuwa Navyo ili Uwe wakala wa Halopesa,Tigopesa,Mpesa na Airtel Money? Msaada Wakuu
Asante Mkuu vp na upande wa laini naweza kuzipata kwa bei gani? Kama hutojari msaada pia nipate MaelekezoLeseni ya biashara
TIN
kitambulisho cha taifa
Mkataba wa pango
Hati ya uhakiki wa vidole toka jeshi la polisi
Barua ya utambulisho serikali ya mtaa
Nadhani na wadhamini
Hilo silijui sana ila zinacheza kwenye laki mpaka laki 2 hiviAsante Mkuu vp na upande wa laini naweza kuzipata kwa bei gani? Kama hutojari msaada pia nipate Maelekezo