Habari Wakuu

black mamba

New Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nimekuwa nikifuatilia topics mbalimbali humu JF kama guest, nimeona umefika wakati wa kuwa member wa JF.
Naomba kukaribishwa na wenyeji. Asanteni sana.
 
Welcome.. angalia 2 usigonge watu asee.. maana una sumu kali sana
 
hahahaaah!! Sumu yake inafaa sana baadhi ya watu kule jukwaa la siasa.

Yap mkuu, kule kuna vigamba balaa, Dah lile jukwaa la siasa kuna mda uvumilvu unanshindaga asee
 
Juzi kuna mtu kaleta mada jukwaa la siasa baada ya mida tunaona BANNED kule noma ukienda inabidi upunguze hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…