Habari wana group... jamani naomba msaada kwa anaeuza vanila au anaejua soko la vanila wapi nitaweza kupata kwa jumla (vanilla beans)

Habari wana group... jamani naomba msaada kwa anaeuza vanila au anaejua soko la vanila wapi nitaweza kupata kwa jumla (vanilla beans)

puruwanji

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
81
Reaction score
28
Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante
 
Kuna dada aliniambia anauza ngoja nimuulize kama bado anazo then nitakujulisha. Ila kwa hicho kiasi cha kilo sijui kama atafika ila atakupatia mwanga wa wapi utazipata pia
 
Zao balaa sana hilo,ukifanikiwa kuikuza fresh ndani ya miaka miwili Kg 1 kwa bei ya sasa ni laki moja
 
bei ya miche au mbegu zake ikoje, na inapatikana wapi. niko moshi
 
Back
Top Bottom