P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Nov 12, 2018 #1 Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante
Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante
GreenMkulima Initiative Member Joined Nov 13, 2018 Posts 20 Reaction score 5 Nov 14, 2018 #2 Kuna dada aliniambia anauza ngoja nimuulize kama bado anazo then nitakujulisha. Ila kwa hicho kiasi cha kilo sijui kama atafika ila atakupatia mwanga wa wapi utazipata pia
Kuna dada aliniambia anauza ngoja nimuulize kama bado anazo then nitakujulisha. Ila kwa hicho kiasi cha kilo sijui kama atafika ila atakupatia mwanga wa wapi utazipata pia
SueIsmael JF-Expert Member Joined Dec 11, 2013 Posts 932 Reaction score 1,282 Nov 14, 2018 #3 Nimeona kuwa Arusha, Moshi, Tukuyu na Tanga wanalima zao la vanilla kwa wingi. Hata hivyo sina taarifa zaidi za wakulima. Labda uwasiliane na mashirika yanayofanya kazi na wakulima Nimekutana na makala hizi labda zinaweza kukusaidia: Growing vanilla in Tanzania Eco-Villagers in Tanzania embrace new crops to adapt to warmer temperatures - International Cooperation and Development - European Commission Kilimo cha zao la vanilla - part 1 | Mogriculture Tz
Nimeona kuwa Arusha, Moshi, Tukuyu na Tanga wanalima zao la vanilla kwa wingi. Hata hivyo sina taarifa zaidi za wakulima. Labda uwasiliane na mashirika yanayofanya kazi na wakulima Nimekutana na makala hizi labda zinaweza kukusaidia: Growing vanilla in Tanzania Eco-Villagers in Tanzania embrace new crops to adapt to warmer temperatures - International Cooperation and Development - European Commission Kilimo cha zao la vanilla - part 1 | Mogriculture Tz
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Nov 14, 2018 #4 Zao balaa sana hilo,ukifanikiwa kuikuza fresh ndani ya miaka miwili Kg 1 kwa bei ya sasa ni laki moja
Zao balaa sana hilo,ukifanikiwa kuikuza fresh ndani ya miaka miwili Kg 1 kwa bei ya sasa ni laki moja
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Nov 14, 2018 #5 Utazipata kwa yesu
E Emmanuel msaki New Member Joined Apr 24, 2020 Posts 4 Reaction score 0 Apr 24, 2020 #6 puruwanji said: Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante Click to expand... Kilo 300 uwezi pata kwa Tz labd bukoba kuna compan inaitwa yamawa ipo seme wakulima wanauza kwa hao wazung tn package inafanyik uganda Sent using Jamii Forums mobile app
puruwanji said: Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante Click to expand... Kilo 300 uwezi pata kwa Tz labd bukoba kuna compan inaitwa yamawa ipo seme wakulima wanauza kwa hao wazung tn package inafanyik uganda Sent using Jamii Forums mobile app
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Apr 24, 2020 #7 bei ya miche au mbegu zake ikoje, na inapatikana wapi. niko moshi