Asante mkuu promiseme,Karibu sana.
Asante sana FP, heshima kwako.Karibu sana, na sisi tunategemea kujifunza toka kwako mkuu
Asante mkuu kbm, nadhani huu ugeni tuu, nashukuru kwa maelekezo. Heshima kwako mkuu...karibu Jizzy1,
lakini umeingilia mlango huu, si wa wageni,
rudi upite mlango wa mbele. (kwenye jukwaa ka wageni)
"Intro for new members"
Shukrani mkuu BHULULUKaribu sanaJF
Hahahaaaa, Mkuu Stahmy Junior nimetokea u-guest (just kidding)
Asante mkuu kbm, nadhani huu ugeni tuu, nashukuru kwa maelekezo. Heshima kwako mkuu
...jamani! Mbona wote mnamkaribisha tu! (mshaurini) Hamuoni kuwa mwenzenu kaingilia mlango wa wenye mahusiano?
...nakuomba "Jizzy1" urudi ukapitie... "JF Social Forums (Lounge)", jukwaa la "Utambulisho (Member Intro Forum)"
...sawa eh?
Mkuu kbm kwanza Nashukuru JF imenipatia Majibu ya maswali mengi sana kwani kupitia matatizo/changamoto za wadau Pamoja na majibu nimejifunza na kufaidika sana. Kuhusu changamoto nachukulia kwa mtazamo chanya na kutokana na tofauti zenu mbalimbali sitegemei tukubaliane kila jambo. Tukizingatia mantiki na kuheshimiana tutafika mkuu....tuko pamoja mkuu!
"Kuku mgeni hakosi kamba mguuni..."
Kumbuka jogoo la shamba haliwiki mjini
...karibu mwanawitu,je umejiandaaje kukabiliana na MIKINGAMO pamoja na HOJA za wadau