divalovenesslove
New Member
- Aug 14, 2016
- 2
- 1
Amen. Karibu sana. We ndo Diva wa Clouds?Habari wana jamii forum, nimefurahi sana kujiunga na JF maana nilikua sijui ni jinsi gani ya kujiunga&pia sikuwahi kujua kama kuna app ya jamii forum
Ni muda mrefu sana nimekua nikigoogle tatzo langu lolote naletewa na majibu kutoka jamii forum pia
Naomba mnipokee ndugu zangu, natarajia kujifunza&kuelimishwa mengi
Mwenyezi Mungu awabariki
HapanaAmen. Karibu sana. We ndo Diva wa Clouds?
Njoo kwangu PM,mimi ndo balozi wa mtaa huu.
Habari wana JamiiForums, nimefurahi sana kujiunga na JF maana nilikua sijui ni jinsi gani ya kujiunga&pia sikuwahi kujua kama kuna app ya JamiiForums
Ni muda mrefu sana nimekua nikigoogle tatizo langu lolote naletewa na majibu kutoka JamiiForum pia. Naomba mnipokee ndugu zangu, natarajia kujifunza&kuelimishwa mengi.
Mwenyezi Mungu awabariki.