Habari wana JF mimi mgeni humu

Ishaselo

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
329
Reaction score
336
Nashukuru kujiunga na jf watu makini wanaojua nini wanaandika.Tofauti na nyingine hapa nimekuta habari za uhakika na zilizochambuliwa na watu wenye akili.Nimekuwa nikitembelea humu mara kwa mara sana na kuna hoja ambazo nilitaka kuchangia lkn sikuwa nimejoin lkn kwa sasa nashukuru na mimi sasa naweza kutoa maoni yangu.Shukran kwa wamiliki wa jf na wanachama wote,asanteni sana.
 
karibu binti,wewe si ulikula kuku yangu halafu ukanikacha ulifikiri hatutakutana
 
Lipa elfu 80000 kwanza ili usajiriwe vizuri kwan bado umeandikiwa penseli
 
Hata km ni mgeni kumbe kuna kubisha hodi?? Jembe 80 ya non??
 
Karibu kijana! lakini yakupasa uwe mvumilivu vya kutosha lasivyo tutakupoteza kama tulivyompoteza yule kiongozi alie pendwa na watu!
 
Karibu kijana! lakini yakupasa uwe mvumilivu vya kutosha lasivyo tutakupoteza kama tulivyompoteza yule kiongozi alie pendwa na watu!

Atapotezwa kama yy ni kijani njano lkn kama ana damu ya kikamanda hawez potea.
 
karibu sana... karibu mpaka kwa magufuri ila sio ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…