kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 588
- 463
ndgu wana jf mm mgen na account hii naomben ushilikiano wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asantKaribu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu hatuna Ushilikiano sijui kama utaupata, Uzi wa kwanza tu BOKOOOOOO!
Ungesema Ushirikiano ungepata.
haaa we ume elawa ushlikiano gnHumu hatuna Ushilikiano sijui kama utaupata, Uzi wa kwanza tu BOKOOOOOO!
Ungesema Ushirikiano ungepata.
Ahaaa bard2Humu hatuna Ushilikiano sijui kama utaupata, Uzi wa kwanza tu BOKOOOOOO!
Ungesema Ushirikiano ungepata.
Cja baatik kupta elimu ya lugha.Mwalimu wako wa lugha ni nanii?
SawaKama uandishi ndio huu, nakushauri tu usianzish uzi ndan ya miez 3. Utaukimbia uzi wako,
Jifunze kwanza kuandika vizur