C Chuma solo guy Member Joined Oct 13, 2015 Posts 16 Reaction score 18 Jan 4, 2023 #1 Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu. Kwasasa mambo yapo kwenye mstari naomba mnipokee
Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu. Kwasasa mambo yapo kwenye mstari naomba mnipokee
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 4, 2023 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Jan 4, 2023 #3 Unasahauje sasa neno siri la mtandao mzuri kama huu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 4, 2023 #4 Karibu tena JamiiForums...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 4, 2023 #5 Chuma solo guy said: Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu. Kwasasa mambo yapo kwenye mstari naomba mnipokee Click to expand... Karibu tena JF
Chuma solo guy said: Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu. Kwasasa mambo yapo kwenye mstari naomba mnipokee Click to expand... Karibu tena JF