Habari wanajamii

Habari wanajamii

Joined
Oct 22, 2009
Posts
7
Reaction score
0
Habari zenu wote? mimi ni mwanajamii mwenzenu niliyepata nafasi ya kujiunga nanyi leo. nafurahi kuwa hapa. nilipata kusikia habari kuhusu jukwaa hili la jamii hivyo nikaona si vibaya nikajiunga kwa manufaa ya jukwaa pamoja na wanajamii wenzangu. asanteni.
 
Jinsia yako...he/she?..Ni jambo la msingi sana tukajua hili!
Karibu sana jamvini mkuu!
Tunategemea una michango ya hali na mali!
 
Karibu sana... lakini hilo jina lako linamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom