Habari wanajamiiforum

Heee nilisahau kuandika habari zenu wanajamii forums
 
Karibu mkuu.
Twausubiri kwa hamu mchango wako kwenye kulisukuma gurudumu la maendeleo la taifa letu.
We love u.
 
Wakuu naomaba kuuliza hivi humu ndani watu wanaishi vipi???? just curious.
 
jana lako tu utata..karibu sana bwana stapler feel at home
 
Wakuu naomaba kuuliza hivi humu ndani watu wanaishi vipi???? just curious.

Watu wanaishi kutokana na mazingira yaliyopo, ukikuta watu wanalala huku wamesimama nawe fanya hivyo hivyo.

Any ways you are welcome.
 
Mkuu, mbona heading yako umewapa dole la chini wanajamii?........just curious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…