Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro, kwa mwenye kujua anijuze, je lazima uwe na soko tayari kule au unaeza peleka tu mzigo?
Nashukuru sana, ila nataka kupeleka asali sasa sijajua ni asali ya namna gani inayotakiwa, tatizo sina mwenyeji ila naeza enda kama ulivonishauri mdau.
Nashukuru sana, ila nataka kupeleka asali sasa sijajua ni asali ya namna gani inayotakiwa, tatizo sina mwenyeji ila naeza enda kama ulivonishauri mdau.
Kwenye asali sijajua ,ila kwenye mbuzi hakikisha unaenda na mbuzi wanono,mzigo unaweza kwisha ukiwa bandarini,kuhusu mwenyeji wa kule uwe makini wengine sio waaminifu,usimuachie mzigo,naweza kukuunga na mtu ukiitaji ni pm