Sanitizer nyingi za kutengeneza kienyeji aidha ni fake au zina madhara. Siyo kila mtu anaweza kutengeneza. Kuna taratibu za kufuata. Ni hatari ukiwa na sanitizer fake maana itamdanganya mtumiaji yuko salama kumbe anameza virusi kibao. Kwa kifupi unaweza kusababisha virus kuongezeka na kusambaa zaidi kwa tamaa yako ya fedha. Au mtumiaji akapata madhara na kusababisha matatizo mengine makubwa zaidi kuliko hata hao virus. Nime-note hata jina la kitu unacho-plan kutengeneza hujui kiliandika vizuri. Ni hatari kubwa unataka kuleta.