Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Nov 17, 2012 #1 nipo humu kitambo,sijawahi kujitambulisha,nimeona nipite kusalimia.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,483 Reaction score 3,369 Nov 17, 2012 #2 Member kama wewe unayekuja na kupita,ninachoweza kukuambia ni kwamba huku hatuna mambo ya kitoto na hata mambo facebook hatuitaki humu! Hiyo ni warning nakupa Mi mwenyewe kutokana na hodi yako uliyobisha! Isaac Chikoma Upo mpaka hapo?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Member kama wewe unayekuja na kupita,ninachoweza kukuambia ni kwamba huku hatuna mambo ya kitoto na hata mambo facebook hatuitaki humu! Hiyo ni warning nakupa Mi mwenyewe kutokana na hodi yako uliyobisha! Isaac Chikoma Upo mpaka hapo??
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Nov 17, 2012 #3 Sijajua nikwambie karibu au asante!
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Nov 17, 2012 Thread starter #4 Pamoja @ Liverpool.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 18, 2012 #5 Soma hapa chini Isaac Chikoma... JamiiForums Disclaimer and Rules Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 21, 2012 #7 Karibu sana JF mkuu.........