mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Tangu mwaka 2016 nimekuwa msomaji Wa habar mbalimbali jf bila kuwa member kamali lkn Leo namshukuru mungu kwa kuwa member.my take no kwamba nitajifunza mengi maana najua jf imejaa watu wenye hali ya juu ya critical thinking.... Asante sina mengi sana