mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Fungua uzi huu uanze kutoa maoni yakoTangu mwaka 2016 nimekuwa msomaji Wa habar mbalimbali jf bila kuwa member kamali lkn Leo namshukuru mungu kwa kuwa member.my take no kwamba nitajifunza mengi maana najua jf imejaa watu wenye hali ya juu ya critical thinking.... Asante sina mengi sana
Asante sanakaribu sana mkuu
Mewewe ni Me/Ke ?? nijibu ili nijue namna kukukaribisha
Data mmmhWengine hadi wamepata wenza humu na familia watoto wanaenda shule
Huo ndio ukweli we komaa tuData mmmh
Sawa mkuuHuo ndio ukweli we komaa tu
lakini si una dada??
Ninaye kuna shida yoyote kwan??lakini si una dada??
hakuna shida boyNinaye kuna shida yoyote kwan??